Jina langu ni Martin. Nimezaliwa na kulelewa Kenya. Nilipo kuja Cagliari nikavutiwa na hiki kikozi sana hadi nikaamua kujiunga nao. mimi ni  mmoja wa vijana wa kujitolea na Serikali ya Taifa ya Huduma.

 Zaidi ya miezi miwili imepita tangu mimi kwanza kuweka mguu katika ofisi ya TDM 2000 International ,nilikuwa wa mwisho kufika ofisi. Nimechagua mradi huu kwa sababu nilitaka kuishi katika utamaduni tofauti na kugundua mila tofauti.

Tangu nilipo jiunga na hiki kikozi cha TDM najisikia nyumbani kwani najifunza mengi ambayo pekee ingechukua muda kuvumbua.Ni matumaini yangu kuwa kabla ya kipindi changu kuisha nitakuwa mwenye furaha tere.

 

 

If you haven’t learnt yet the Swaili language we have a translation for you  in English:

My name is Martin. I was born and raised in Kenya. When I came to Cagliari I was attracted to this group of TDM 2000 International until I decided to join them. I am one of the young volunteers and the National Civil Service.
 Over two months has passed since I first put foot in the TDM 2000 International office, I was the last to come to the office. I have chosen this project because I wanted to live in different cultures and discover different cultures.
Since I joined TDM I feel at home because I am learning a lot more thing that would only take time to discover.

Martin